Michezo

Picha: “Tunarudi nyumbani tukiacha heshma kubwa ya klabu na nchi” Haji Manara

Baada ya wekundu wa msimbazi Simba kutolewa katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika na timu ya Al Masry huku wakitoka sare ya 0 – 0 nchini Misri, afisa habari wa klabu hiyo, Haji Manara amesema kuwa timu yake imefanya kila kitu lakini mwisho wa siku mpangaji ni Mungu hata hivyo wanarejea nyumbani wakiwa wameacha heshima kubwa.

Tumefanya tuliyojaaliwa lakini mpangaji wa kila kitu ni Manani…jitihada hazishindi kudra..tunarudi nyumbani tukiacha heshma kubwa ya klabu na nchi kwa ujumla Misri…sasa nguvu yetu ipo ktk VPL…..Asante kwa dua na Sala zenu..Bravo SSC

Mnyama Simba SC atolewa kiume na Waarabu wa Misri

Simba SC imeyaaga mashindano hayo kwa jumla ya mabao 2 – 2 waliyofungwa hapa nyumbani katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Picha za matukio ya uwanjani nchini Misri

“Tunarudi nyumbani tukiacha heshma kubwa ya klabu na nchi” Haji Manara

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents