Burudani

Picha: Ufahamu Mjengo wa The Weekend

Mpenzi mpya wa mwanamuiki Selena Gomez, The weekend ameweza kununua mjengo mpya uliopo maneo wanaioshi watu wenye pesa huko Los Angeles Marekani.

Jumba hilo la kifahari liliogharimu kiasi cha dola milioni 20 za marekani, linapatiakana katika maeneo ya Hidden Hills lilipostiwa na The Weekend mwenyewe kwa kutujulisha kuwa sasa ana nyumba ya kifahari na ndiko anapoishi.

Nyumba hilo ya The weekend ina ukubwa takribani hekari tatu na futi za mraba 13,00. Pia ina vyumba vya kulala vipatavyo tisa na mabafu kumi na moja , huku kukiwa na chumba maalumu za wageni na wagonjwa.

Ukiingia ndani ya nyumba hiyo utakutana na kengere za kubishia hodi pia kuna sehemu za kuvutia zilizopakwa rangi kwa uzuri huku kukiwa na sehemu maalumu ya kufanyia mazoezi na kupata mvinyo,pamoja na kufanya muziki na kadhariaka.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents