Habari

Picha: Unaweza kumkumbatia mpenzi/mke wako hivi?

Picha za Scott Disick zinazomwonesha akiwa amemkumbatia mchumba wake Kourtney Kardashian kwa style ya aina yake zimezua mjadala mkubwa kwenye internet ambapo wengi wanahisi kamkosea heshima mama watoto wake.

Hivyo tunauliza, unaweza kumkumbatia hivi mke ama mchumba wako?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents