Promotion

Picha: Uzinduzi wa Ishi Kistaa ulivyonoga Escape One, Dar

001.ISHI KISTAA
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa akiteta jambo na msaani wa bogofleva Linah Sanga wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Ishi Kistaa inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na Green Telecom yenye malengo ya kuendeleza vipaji vya vijana chipukizi wa muziki na muvi kurekodi muziki au muvi na kuwapa fursa ya kuishi maisha ya kistaa ambayo wamekuwa wakiona wasanii wakiishi ili kushiriki katika promosheni hii unatakiwa kutuma neno STAA au STAR kwenda namba 15760 na utachagua staa unayempenda na utatumiwa maswali kuhusu huyo staa na unaweza kuibuka mshindi. Kila wiki kuna mshindi mmoja anapatikana.Katikati ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Matina Nkurlu

002.ISHI KISTAA
Meneja wa Nje wa Vodacom Tanzania,Abigail Ambweni (kushoto),Ofisa Mawasiliano wa kampuni hiyo Glory Mtui wakiwa katika pozi la picha na msanii wa muziki wa kizazi kipya Linah Sanga wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Ishi Kistaa

007.ISHI KISTAA
Mwanamuziki wa kizazi kipya Izzo Business akisalimiana na Ofisa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Glory Mtui wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Ishi Kistaa

003.ISHI KISTAA
MC wa uzinduzi wa promosheni ya Ishi Kistaa VJ Penny akiteta jambo na Ofisa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Glory Mtui wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Ishi Kistaa

004.ISHI KISTAA
Msanii mahiri wa bongo fleva Barnaba akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, Shamsa Hamud(kushoto)na Glory Mtui wakati wa uzinduzi wa Promosheni ya Ishi Kistaa

005.ISHI KISTAA
Ofisa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Glory Mtui akicheza muziki na msanii wa bongo fleva Barnaba wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo

006.ISHI KISTAA

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents