Burudani

Picha: Uzinduzi wa Jack Honey wafana jijini Dar

Ijumaa iliyopita mastaa mbalimbali walijumuika na watu wengine kwenye uzinduzi wa kilevi cha Jack Daniel’s kilichotengenezwa kwa asali, Jack Honey. Uzinduzi huo ulifanyika High Spirit Lounge iliyopo kwenye jengo la IT Plaza jijini Dar es Salaam.

Uzinduzi ulihudhuriwa na warembo kama hawa
Uzinduzi ulihudhuriwa na warembo matata kama hawa

Uzinduzi huo uliandaliwa na kampuni ya Archipelago Productions ambayo CEO wake ni Sarah Scott wakishirikiana na wasambazaji wa Jack Honey, Mark Techno Ltd. Mastaa waliohudhuria uzinduzi huo ni pamoja na Lady Jaydee, Wakazi, Gosby, Cindy Rulz, Grace Matata na wengine.

Lady Jaydee ni miongoni mwa mastaa waliohudhuria uzinduzi huo
Lady Jaydee ni miongoni mwa mastaa waliohudhuria uzinduzi huo

Uzinduzi huo ulipambwa na performance kutoka kwa kundi la 909 na Weester. Kundi la 909 linaundwa na members watano, Kiche, ICY, Ronny, Agogo na Mswati.

IMG_7779 (1024x683)
Rapper Kiche wa kundi la 909 akishusha mistari

Tazama picha zaidi za uzinduzi huo.

Warembo wakiwashuhudia vijana wa 909 wakitumbuiza
Warembo wakiwashuhudia vijana wa 909 wakitumbuiza

Chupa murua ya Jackie Daniels yenye ladha ya asali
Chupa murua ya Jack Honey

Gosby akiwa na washkaji wa 909
Gosby akiwa na washkaji wa 909

Gosby, Cindy Rulz na Wakazi
Gosby, Cindy Rulz na Wakazi

Grace Matata (kushoto) akiwa na mmoja wa washkaji zake
Grace Matata (kushoto) akiwa na mmoja wa washkaji zake

Member wa kundi  la 909 akitumbuiza
Member wa kundi la 909, Ronny akitumbuiza

Member wa kundi la 909, Agogo
Member wa kundi la 909, Agogo

Menina Atick
Menina Atick

Mizuka ya 909
Kiche wa 909

Mpiga picha mahiri, Osse Sinare
Mpiga picha mahiri, Osse Sinare

Mrembo akicheza muziki uliokuwa ukishushwa na DJ Vasley
Mrembo akicheza muziki uliokuwa ukishushwa na DJ Vasley

Mrembo akifurahia performance ya kundi la 909
Mrembo akifurahia performance ya kundi la 909

Mtangazaji wa zamani wa Choice FM, Thand Kathembe akifurahia uzinduzi
Mtangazaji wa zamani wa Choice FM, Thand Kathembe akifurahia uzinduzi

Rapper wa kundi la 909 akiwa kazini
Rapper wa kundi la 909, ICY akiwa kazini

Rapper Weester akitumbuiza

IMG_7627 (1024x683)

IMG_7628 (1024x683)

IMG_7644 (1024x683)

IMG_7649 (1024x683)

IMG_7651 (1024x683)

IMG_7665 (1024x683)

IMG_7666 (1024x683)

IMG_7667 (1024x683)

IMG_7669 (1024x683)

IMG_7671 (1024x683)

IMG_7674 (1024x683)

IMG_7683 (1024x683)

IMG_7688 (1024x683)

IMG_7695 (1024x683)

IMG_7697 (1024x683)

IMG_7703 (1024x683)

IMG_7727 (1024x683)

IMG_7749 (1024x683)

IMG_7752 (1024x683)

IMG_7760 (1024x683)

IMG_7764 (1024x683)

IMG_7767 (1024x683)

IMG_7769 (1024x683)

IMG_7781 (1024x683)

IMG_7782 (1024x683)

IMG_7787 (1024x683)

IMG_7794 (1024x683)

IMG_7796 (1024x683)

IMG_7801 (1024x683)

IMG_7807 (1024x683)

IMG_7812 (1024x683)

IMG_7814 (1024x683)

IMG_7817 (1024x683)

Ldy

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents