Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Picha: Uzinduzi wa movie mpya ya Lulu ‘Foolish Age’

Muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael maarufu kama Lulu, jana amezindua filamu yake mpya iitwayo Foolish Age. Uzinduzi huo umefanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na waigizaji wenzake pamoja na wadau wengine wa filamu Tanzania. Kwenye uzinduzi huo Lady Jaydee alitoa fora kwa burudani iliyowainua juu watu waliohudhuria. Amini na Barnaba nao walitumbuiza. Tazama picha za ndani ya ukumbi jinsi uzinduzi ulivyoenda.

Batulli na Sandra
Batulli na Sandra

Emmanuel Myamba
Emmanuel Myamba

Hosts
Washereheshaji wa shughuli nzima, Godwin Gondwe na Sandra Brown Temu wa Times FM

Kajana na Wema
Kajala akiwa na shoga yake Wema Sepetu

Lucci na ubavu wake
Producer wa Jikubali ya Ben Pol, Lucci Da Don akiwa na ubavu wake

Lulu akiongea machache
Lulu akiongea machache

Lulu akiwashakuru waliohudhuria
Lulu akiwashukuru walioenda kusupport uzinduzi wa filamu yake mpya

Mama Kanumba akilia machozi baada ya kukutana na Wema
Mama Kanumba akilia machozi baada ya kukutana na Wema

Martin Kadinda akiwa kwenye meza ya Wema
Martin Kadinda akiwa kwenye meza ya Wema

MC Godwin Gondwe
MC Godwin Gondwe aka Double G

Mzee Chilo akiongea na Kajala
Mzee Chilo akiongea na Kajala

Nisher in da building
Nisher in da building

Ramsey Hashim na Mzee Chilo
Ramsey Hashim na Mzee Chilo

Wema akifurahia uzinduzi
Wema akifurahia uzinduzi

Wema akimkumbatia mama Kanumba
Wema akimkumbatia mama Kanumba

Wema alimtuza Mama Kanumba fedha nyingi sana
Wema alimtuza Mama Kanumba fedha nyingi sana

11

12

13

15

16

23

25

27

30

32

33

34

35

37

38

39

40

42

IMG_5798 (600x900)

IMG_5801 (600x900)

IMG_5802 (600x900)

IMG_5804 (600x900)

IMG_5818 (600x900)

IMG_5826 (600x900)

IMG_5828 (600x900)

IMG_5829 (600x900)

IMG_5830 (600x900)

IMG_5841 (600x900)

IMG_5869 (600x900)

IMG_5873 (600x900)

IMG_5920 (600x900)

IMG_5922 (600x900)

Kajala akifurahia burudani

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW