Picha

Picha: Uzinduzi wa Redd’s Miss Tanzania 2013

By  | 

Shindano la Redd’s Miss Tanzania 2013 jana limezinduliwa rasmi katika hoteli ya Serena na kuhudhuriwa na watu mbalimbali.

IMG_7007

Uzinduzi huo uliandaliwa na wadhamini wakuu wa shindano hilo, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia kinywaji cha Redd’s ambao uliwakutanisha wapenzi wa urembo na wadau mbalimbali, wakiwemo mawakala wanaoandaa mashindano ya kumsaka Redd’s Miss Tanzania katika hatua za awali, kanda, mikoa hadi taifa.

Katika uzinduzi huo Redd’s Miss Tanzania, Brigite Alfred alikuwepo sambamba na Miss Tanzania wa zamani wakiwemo Nancy Sumari, Faraja Kotta na Salha Israel.

Uzinduzi huo unamaanisha kuwa mawakala wote wataanza mchakato wa kuandaa mashindano katika ngazi za wilaya, mikoa, kanda na baadaye taifa.

IMG_6971

IMG_6978

IMG_6979

IMG_6982

IMG_6989

IMG_6990

IMG_6991

IMG_6992

Msema Chochote Abby akifanya yake

Msema Chochote Abby akifanya yake

Abby na Brigitte

Abby na Brigitte

IMG_6999

IMG_7000

IMG_7002

Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred

Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred

IMG_7005

IMG_7008

IMG_7011

IMG_7012

IMG_7013

Khadija Mwanamboka akiliangalia kwa makini gauni la Brigitte

Khadija Mwanamboka akiliangalia kwa makini gauni la Brigitte

IMG_7023

IMG_7024

IMG_7027

Nancy, Luca Neghesti na Faraja Nyalandu

Nancy, Luca Neghesti na Faraja Nyalandu

IMG_7037

Lundenga akisema machache

Lundenga akisema machache

Faraja Nyalandu, Brigitte Alfred na Nancy Sumari

Faraja Nyalandu, Brigitte Alfred na Nancy Sumari

IMG_7055

IMG_7057

IMG_7065

Hashim Lundenga akipeana cheers na Miss Tanzania wa sasa Brigitte Alfred

Hashim Lundenga akipeana cheers na Miss Tanzania wa sasa Brigitte Alfred

Mamiss wakilisakata Rhumba

Mamiss wakilisakata Rhumba

IMG_7075

IMG_7077

IMG_7078

IMG_7083

IMG_7088

Banana Zorro akitumbuiza pamoja na bendi yake

Banana Zorro akitumbuiza pamoja na bendi yake

IMG_7095

IMG_7099

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments