Burudani
Picha: Uzinduzi wa video ya Cpwaa ‘Chereko Chereko’
Rapper Ilunga Khalifa aka Cpwaa amezindua video ya wimbo wale Uzinduzi wa ‘Chereko Chereko’ Jumapili hii (8/6/2014) ndani ya New Maisha Club. Pia kulifanyika utambulisho rasmi wa kundi la “Wadananda” na wimbo wao mpya uitwao “Kidaluso”. Hizi ni picha za uzinduzi huo zikiwemo zile za red carpet.
Cpwaa akishafanya Showa
Wadananda
Msami Mzee wa Sound Track
Dullayo
Wakazi
Prince Seseme
Papaa Masia