Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Picha: Vera Sidika abadilisha muonekano wake

Video vixer kutoka Kenya, Vera Sidika ameamua kubadirisha muonekano wake wazamani na kuhamia katika muonekano wa rangi ya blue kwa nywele na mavazi.

Vera ambaye bado yupo nchini Uingereza, akila bata ametupia picha zake katika mtandao wa Instagram kuonyesha muonekano wa Blue Blue, muonekana ambao umewafanya baadhi ya watu katika masuala ya urembo kuusifia na wengie kumtaka apunguze rangi ya mdomo (lipstick).

Na Laila Sued

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW