Michezo

Picha : Victor Wanyama anazidi kula bata Bongo

Mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya na Tottenham Hotspur ya Uingereza, Victor Wanyama aliyetua Bongo siku chache zilizopita ameonyesha kuvutiwa na Bongo.

Kungo huyo wa kati katika timu ya Tottenham ameonekana akitalii kwa kukodi boti binafsi na kuenjoy pamoja na msanii wa muziki mkongwa nchini A.Y. Hizi nii baadhi ya picha za mchezaji huyo akila bata.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents