Aisee DSTV!
SwahiliFix

Picha/Video: Beyonce na Jay Z walivyowasha moto kwenye ziara ya ‘On the Run II’

Beyonce na Jay Z wameanza kufanya show yao ya kwanza ya ziara ya ‘On the Run II’.

Jumatano hii couple hiyo yenye nguvu kubwa duniani, wamefanya show yao hiyo mjini Cardiff, Uingereza katika uwanja wa Principality wenye uezo wa kuchukua watu takribani 74,500.

https://youtu.be/7u7coPxNiTk

Katika show hiyo, Queen Bey na Jay ameimba ngoma 43 ikiwemo ‘Drunk in Love’, ‘Big Pimpin’, ‘Baby Boy’, ’99 Problems’, ‘Crazy in Love’, ‘Family Feud’ na nyingine.

Ziara hiyo inatarajiwa kuzunguka kwenye miji 37 ikiwemo Ulaya na Marekani. Tazama zaidi picha za show yao ya mjini Cardiff.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW