Habari

Picha & Video: Mh. Mtulia alivyokabidhiwa kadi ya unachama wa CCM leo

Aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni kupitia CUF, Maulid Said Abdallah Mtulia akabidhiwa rasmi kadi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ofisi za chama hicho Kinondoni, Dar es salaam.

Disemba 2 mwaka huu, Mh. Mtulia alitangaza kujiuzulu nafasi ya zote za uongozi ndani ya chama hicho na kujivua uanachama.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents