Tupo Nawe

Picha: Vijana wa Simba waonyesha jeuri ya fedha, wafanya shopping yanguvu Uturuki 

Picha: Vijana wa Simba waonyesha jeuri ya fedha, wafanya shopping yanguvu Uturuki 

Kikosi cha klabu ya Simba ambacho kipo nchini Uturuki kwaajili ya maandalizi ya Simba Day na michuano mbalimbali wamepata nafasi ya kufanya shopping kabla ya kurejea nchini.

Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwemo nahodha John Bocco, Emmanuel Okwi, Adam Salamba na wengine wameonekana wakiingia kwenye maduka makubwa ya Symbol Mall na kununua vitu mbalimbali vya michezo na zawadi za familia.

Zimesalia takribani siku nane kwa klabu hiyo kufanya kufanya sherehe yao ya Simba Day ambayo huadhimishwa kila ifikapo Agosti 8 na kuitumia kwa kuwatambulisha wachezaji wao wapya huku wakishiriki shughuli mbalimbali za kijamii.

Picha wachezaji wa Simba wakiwa wanachagua nguo kwenye maduka kabla ya kurejea nchini.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW