Picha: Waigizaji wa Black Panther wapata shavu jarida la Essence

Waigizaji wa filamu ya Black Panther wamepata shavu la kutokea mbele ya jarida la Essence linalotarajiwa kutoka mwezi Machi mwaka huu.

Kwa upande wa wanaume walioonekana katika jarida hilo ni Chadwick Boseman, Michael B. Jordan, Daniel Kaluuya na Forrest Whitaker, kwa upande wa wanawake ni Lupita Nyong’o, Danai Gurira, Angela Bassett, Letitia Wright.

 

 

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW