Burudani

Picha: Wakacha waingia location kutengeneza video mpya ya kundi

Baada ya kuibuka maswali mengi juu ya kundi la Wakacha na ukimya wao wa muda mrefu bila ya kuachia wimbo wa pamoja huku kila msanii wa kundi hilo akifanya kazi zake binafsi, sasa imeonekana muda si mrefu watazikata kiu za mashabiki wao.

Wasanii wanaounda kundi hilo akiwemo Cyril Kamikaze na Jux wameonekana kwenye picha za pamoja ambazo zinawaonyesha wakiwa location wakitengeneza video ya wimbo wao mpya. Katika kuthibitisha kuwa hiyo ni kazi mpya kutoka kwa kundi hilo, kupitia mtandao wa Twitter Jux ameandika, “WAKACHA we back on it!! ???????????????? @kamikazewakacha.”

Tazama picha zaidi hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents