Habari

Picha: Wakazi wa Dar wajitokeza kwa wingi zoezi la upimaji afya bure!

Zoezi la Upimaji wa Afya Bure kwa muda wa siku tano limeanza Jumatano hii kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam ambapo baadhi ya wananchi wamewahi kwenye viwanja hivyo tokea saa 10 Usiku.

Wananchi wakisubiri huduma

Mwamko huu ni baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kutangaza zoezi la Upimaji bila Malipo.

Madaktari bingwa na Wauguzi kutoka Hospital za Umma,Jeshi na zile za Watu Binafsi wanaendelea na zoezi la Upimaji kwa Wananchi.

Katika Upimaji huo Mwananchi atakaepimwa na kubainika kuwa na matatizo ya kiafya atapelekwa Hospital na kupatiwa Matibabu Bure. Picha za watu waliojitokeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents