Picha: Wakazi wa Morogoro wapata semina ya fursa ili kubadili maisha yao
Kama ilivyo kawaida, leo japo zima la semina ya fursa limetoa elimu ya kujitambua, kilimo na ujasiriamali katika semina iliyofanyika Kameta Hall,mkoani Morogoro.
Semina hiyo ilihudhuriwa na watu wa rika mbalimbali ili kupata elimu kutoka kwa jopo zima la semina ya fursa inayokwenda sambamba na Serengeti Fiesta 2013.
Mbunifu wa mavazi wa Morogoro Diana Magessa akiongea kwenye semina ya fursa Morogoro pamoja na kuonyesha mavazi yake
Diana Magessa akimvalisha nguo za asili Gerald Hando
Diana Magessa akionyesha mavazi yake
Haidar Chamshama kutoka Zantel
Mkurugenzi wa Vipindi,Uzalishaji na Mipango wa Clouds Media Group akiongea kwenye semina ya fursa
Mkuu wa kitengo katika sekta binafsi NSSF, Salim Khalfan akiwa katika semina ya fursa Morogoro
<img src="http://bongo5.com/wp-content/uploads/2013/09/Mlemavu-wa-ngozi-akifuatilia-fursa-kwa-makini..jpg" alt="Mlemavu wa ngozi akifuatilia fursa kwa makini." width="750" height="500" class="alignnone size-full wp-image-56249″ />
Mlemavu wa ngozi akifuatilia fursa kwa makini
Mrisho Mpoto akiongea na wakazi wa Morogoro
Mrisho Mpoto akipewa zawadi na mkazi wa Morogoro
Mwakilishi kutoka Maxcom Africa akizungumza kwenye semina hiyo
Nick wa Pili akiongea na wakazi wa Morogoro
Queen Darleen na Mwasiti wakifuatilia semina kwa makini
Vijana ambao wanatembea kwa miguu mikoa mbalimbali kufuata fursa wakitambulishwa
Wakazi wa Morogoro wakifuatilia semina kwa makini
Bwana Shamba wa Clouds, Yona Toram akizungumza kwenye semina ya fursa