Burudani

Picha: Wakazi wa Mwanza wajitokeza kwa wingi kwenye semina ya fursa

Wakazi wa jiji la Mwanza leo wamejitokeza kwa wingi kwenye semina ya fursa iliyofanyika kwenye ukumbi uliopo kwenye hoteli ya Golden Crust jijini humo. Miongoni mwa waliokuwa wasemaji kwenye semina hiyo ni pamoja Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia January Makamba,Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Stephen Masele, DC wa Iramba Yahaya Nawanda, muigizaji wa filamu Elizabeth Michael aka Lulu na wengine.Tazama picha za namna semina hiyo ilivyokuwa.

Mwigizaji wa filamu Elizabeth Michael a.k.a Lulu akiteta jambo na Mrisho Mpoto katika ukumbi wa fursa.
Mwigizaji wa filamu Elizabeth Michael aka Lulu akiteta jambo na Mrisho Mpoto katika ukumbi wa fursa

Darasa la fursa likiendelea katika ukumbi wa Hotel ya Golden Crust Mwanza.
Darasa la fursa likiendelea katika ukumbi wa Hotel ya Golden Crust Mwanza

Dc wa Wilaya ya Iramba Yahaya Nawanda akimpongeza Mwanadada Lulu baada kuongea katika semina ya fursa.
Dc wa wilaya ya Iramba Yahaya Nawanda akimpongeza Mwanadada Lulu baada kuongea katika semina ya fursa

Dr.SebastianNdege akizungumzia fursa kubadili elimu.
Sebastian Ndege akizungumzia fursa ya kubadili elimu

Fursa ikiendelea Mwanza.
Fursa ikiendelea Mwanza

Lulu akipongezwa baada ya kuongea na wakazi wa Mwanza.
Lulu akipongezwa baada ya kuongea na wakazi wa Mwanza

Mh. January Makamba akiingia kwenye ukumbi wa fursa.
January Makamba akiingia kwenye ukumbi wa fursa

Mh.January Makamba akimpongeza Lulu baada ya kuongea.
January Makamba akimpongeza Lulu baada ya kuongea

Mh.January Makamba akiwasili katika semina ya fursa.
January Makamba akiwasili katika semina ya fursa

Mh.January Makamba akizungumza jinsi ya kuongeza thamani.
January Makamba akizungumza jinsi ya kuongeza thamani

Mkurugenzi Wa Clouds  Ruge Mutahaba akimlaki Lulu baada ya kuongea katika semina ya fursa.
Mkurugenzi wa utafiti n vipindi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akimlaki Lulu baada ya kuongea katika semina ya fursa

Mrisho Mpoto.
Mrisho Mpoto

Msanii wa muzuki wa kizazi kipya Nick wa Pili akiongea na wakazi wa Mwanza.
Nick wa Pili akiongea na wakazi wa Mwanza

Mwanadada Mwasiti akiwa na Salim Waziri akizungumza fursa zitokanazo na NSSF.
Mwanadada Mwasiti akiwa na Salim Waziri akizungumza fursa zitokanazo na NSSF

Mwigizaji wa filamu Elizabeth Michael a.k.a Lulu akiteta jambo na Mrisho Mpoto katika ukumbi wa fursa.
Lulu akiteta jambo na Mrisho Mpoto katika ukumbi wa fursa

Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Stephen Masele akimlaki mwanadada Lulu.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Stephen Masele akimlaki mwanadada Lulu

Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Stephen Masele akiwa na mmiliki wa Gold Crest Hotel, Mathias Manga
Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Stephen Masele akiwa na mmiliki wa Gold Crest Hotel, Mathias Manga

Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Stephen Masele akizungumza na wakazi wa Mwanza .
Stephen Masele akizungumza na wakazi wa Mwanza

Salim Waziri akizungumzia fursa zitokanazo na NSSF.
Salim Waziri akizungumzia fursa zitokanazo na NSSF

Salim Waziri wa NSSF akizungumza na wakazi wa Mwanza.
Salim Waziri wa NSSF akizungumza na wakazi wa Mwanza

Wakazi wa Mwanza wakifuatia fursa katika ukumbi wa Hotel ya Golden Crust Mwanza.
Wakazi wa Mwanza wakifuatilia semina ya fursa katika ukumbi wa Hotel ya Golden Crust Mwanza

IMG_1993

IMG_2001

IMG_2011

IMG_2018

IMG_2020

IMG_2021

IMG_2056

IMG_2105

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents