Tragedy
Picha: Wananchi waliojitokeza kuuaga mwili wa marehemu Albert Mangwea
Mamia kwa maelfu ya wananchi wa jijini la Dar es Salaam leo wamejitokeza kwenye uwanja wa Leaders Club kuuaga mwili wa marehemu Albert Mangwea aliyefariki wiki iliyopita nchini Afrika Kusini. Hizi ni baadhi ya picha za wananchi hao.