Michezo

Olimpiki: Mchina amchumbia mpenzi wake akipokea medali (Picha)

Muogeleaji wa Kichina He Zi baada ya kushinda na pokea medali yake ya fedha katika mchezo wa Springboard katika michezo ya Rio ya Olimpiki siku ya jumapili.

_90792551_rio-engagement

Alipata zawadi nyengine wakati mpenzi wake Qin Kai mbele ya matangazo ya runinga yaliokuwa yakipeperushwa duniani kupiga goti moja na kumchumbia.
Kwa bahati nzuri ,Qin ambaye yeye mwenyewe alishinda medali ya shaba alikubali.

_90792552_rio-engagement2
Qin Kai alipo kuwa akimchumbia He Zi

_90792553_rioengagement3

”Tumekuwa wapenzi kwa miaka sita ,lakini sikudhani kwamba atanichumbia leo”,alisema.

Amesema kuwa :Vitu vingi vilileta ahadi nyingi ,lakini kitu kilichonigusa zaidi ni kwamba huyu ndio mtu ninayeweza kumuamini kwa maisha yangu yote.

_90792554_rionengament4
Qin Kai akionyesha furaha yake baada ya kukubaliwa na He Zi

Watazamaji wamesema kuwa kisa hicho cha kipekee kilitawala sherehe za kutoa medali katika michezo hiyo.

_90792555_rioengagement5

Source: BBC

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents