Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Picha: Wasanii wa kike nchini waungana na kurekodi video ya wimbo ‘Simama Nami’ kupinga mauaji ya albino

Wasanii mbalimbali wa kike nchini wameungana na kurekodi video ya wimbo uitwao ‘Simama Nami’, maalum kwaajili ya kupinga vitendo vya ukatili dhidi ya walemavu wa ngozi vinavyoendelea nchini. Video imeongozwa na Hanscana.

IMG_9010 - Copy

Wasanii walioshiriki ni pamoja na Keisha, Mwasiti, Linah, Khadija Nito, Grace Matata, Shilole, Kajala, Wolper,Shamsa Ford, Irene Uwoya na Zamaradi Mketema. Wimbo umeandikwa na Barnaba na kurekodiwa katika studio za Switch Records

IMG_9018 - Copy

IMG_9022 - Copy

IMG_9032

IMG_9044 - Copy

IMG_9050

IMG_9053

IMG_9056

IMG_9057

IMG_9061

IMG_9062

IMG_9064

IMG_9065

IMG_9066

IMG_9067

IMG_9068

IMG_9069

IMG_9070

IMG_9072

IMG_9073

IMG_9079

IMG_9080

IMG_9082

IMG_8973 - Copy

IMG_8984 - Copy

IMG_8991 - Copy

IMG_8996 - Copy

IMG_9000 - Copy

IMG_9003

Related Articles

Check Also

Close
Bongo5

FREE
VIEW