Picha
Picha: Wasanii wakiwa backstage Leaders Club wakati wa kuuaga mwili wa Albert Mangwea
Hizi ni picha za backstage Leaders Club wakati wa shughuli za kuuaga mwili wa marehemu Albert Mangwea.
Menina na Keisha
Snura na Dr Cheni
Diamond na dada yake Queen Darleen
Mwasiti na Queen Darleen
Ali Kiba
Abdul Kiba, Monalisa na mama yake
Dude na MB Dogg (nyuma)
Menina
Mwasiti (wa nyuma)
Dayna
Vanessa Mdee
Shilole (mwenye miwani)
Diamond
Dokii
Godzilla
Izzo B (wa nyuma)
Black Rhyno na mke wake
Ferooz akihojiwa
Kitale akisalimia mashabiki
Kala Jeremiah
Mwana FA
Carol Ndosi na Mwana FA
Salama
AY akiwa na Dark Master
Hussein Machozi
Ben Pol akiteta na Kidboy
Majani
Ommy Dimpoz na Diamond
Ray
Julio na Cassim
Mtitu mwenye suti nyeusi
Miss Tanzania wa zamani, Faraja Kotta Nyalandu na Jacqueline Ntuyabaliwe