Michezo

Picha: Watoto wa mastaa wa soka duniani wanaofuata nyayo za baba zao

Hizi ni picha za watoto wa wachezaji wa soka waliostaafu wanaofuata nyayo za wazazi wao. Hawa ni baadhi yao ambapo kuna watoto wa Zinedine Zidane, Rivaldo, Edwin van der Sar, Andy Cole na Patrick Kluivert. Je watoto hao wataweza kutawala katika soka kama baba zao na tutashuhudia kizazi kingine cha watoto wa magwiji hao?

3

Diego Poyet, mwenye umri wa miaka 19, huyu ni mtoto wa Gus Poyet

4

Joe van der Sar, mwenye umri wa miaka 16, huyu ni mtoto wa golkipa wa zamani wa kimataifa wa Uholanzi Edwin van der Sar.

5

Devante Cole mwenye umri wa miaka 19, anachezea Man City, mtoto wa nyota wa zamani wa England Andy Cole.

6

Watoto wa gwiji wa  timu ya taifa ya Ufaransa na vilabu vya Juventus pamoja na Real Madrid Zinedine Zidane, Enzo Zidane mwenye umri wa miaka 19 pamoja na Luca Zidane, mwenye umri wa miaka 16 wanachezea Real Madrid

7

Justin Kluivert, mwenye umri wa miaka 15, mtoto wa Patrick Kluivert anayechezea Ajax

8

9

Niall Keown, mwenye umri wa miaka 19, anachezea Reading  mtoto wa Martin Keown.

10

Rivaldinho, mwenye umri wa miaka 19 anachezea timu ya Mogi Mirim  huyu ni mtoto wa mkongwe wa timu ya ya taifa ya Brazil , Rivaldo

2

Tom Ince, mtoto wa Paul Ince

Chanzo: Daily Mail

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents