Burudani ya Michezo Live

Picha: Watu 17 maarufu Bongo waliongia katika orodha ya Wema Sepetu ‘My Favourite People’

  1. Malkia wa filamu Bongo na Mkurugenzi wa Endless Fame, Wema Sepetu ametoa orodha ya watu ambao anawakubali katika maisha yake ‘My Favorite People’.

Katika orodha hiyo kuna watu wengi ila Bongo5 imekuletea hawa 17 ambao ni maarafu kwa hapa Bongo.

1 – 2, Ben Pol & Vanessa Mdee3 – 5, Aunt Ezekel, Zamaradi Mketema & Snura

6 – 7, Nape Nnauye & Tundu Lissu

8 – 10, Aslay, Steve Nyerere & Barakah The Prince

11 – 12, Millard Ayo & Romy Jones 

13 – 15, Alikiba, Mange Kimambi & Ommy Dimpoz

16 – 17, Soudy Brown & B Dozen

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW