Picha

Picha: Watu milioni 3 walipokusanyika katika ufukwe wa Copacabana wakati wa misa ya mwisho ya ziara ya Papa Francis nchini Brazil

Papa Francis alikuwa na ziara nchini Brazil katika hafla ya ‘World Youth Day 2013’ kuanzia (July 23 hadi 28) ambayo huwa ni tukio la kimataifa la kanisa la Roman Catholic kila mwaka.

brazil-6

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Vatican zaidi ya watu million tatu walijitokeza katika misa ya kukamilisha ziara ya kiongozi huyo mkubwa wa kanisa Katoliki duniani. Misa hiyo iliyohudhuriwa na kila aina ya watu ilifanyika kwenye ufukwe wa Copacabana katika mji mkuu wa Brazil Rio de Janeiro.

brazil-10

Pamoja na hali mbaya ya hewa iliyotanguliwa na mvua kunyesha masaa machache kabla ya misa hiyo haikuwazuia watu kukusanyika kwa wingi katika ufukwe huo.

Tazama picha

brazil-1

brazil-2

brazil-3

brazil-4

brazil-5

brazil-7

brazil-8

brazil-9

brazil-11

SOURCE: DAILY MAIL

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents