Burudani ya Michezo Live

Picha: Waziri Nchemba alivyomkaribisha balozi wa Irani nchini

Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Dr. Mwigulu Nchemba amemkaribisha balozi wa Irani nchini, Mousa Farhang katika ofisini ndogo ya wizara hiyo iliyopo jijini Dar es salaam leo.

Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Dr. Mwigulu Nchemba akimkaribisha balozi wa nchi ya Irani (Tanzania) Mousa Farhang ofisini ndogo ya wizara ya mambo ya ndani iliyopo jijini Dar es salaam leo.

Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Dr. Mwigulu Nchemba akiteta jambo na balozi wa nchi ya Irani (Tanzania) Mousa Farhang alipofika kumtembelea ofisini wizara ya mambo ya ndani iliyopo jijini Dar es salaam jana

Balozi wa nchi ya Irani (Tanzania) Mousa Farhang akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Dr. Mwigulu Nchemba katika ofisi ndogo ya waziri wa mambo ya ndani iliyopo jijini Dar es salaam leo

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW