Burudani

Picha: WCB walivyo sheherekea private party ya Diamond

Usiku wa kumkia leo ndiyo kilele cha kuhitimisha siku nne za kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa C.E.O wa WCB, Diamond Platnumz ambapo private party  imefanyika katika hotel ya Hyatt Rency na kuhudhuriwa na mastaa kadhaa pamoja na watu wake wa karibu.

Kabla ya sherehe hiyo Diamond ametoa msaada wenye thamani ya shilingi  milioni nne katika hospitali ya Amani iliyopo Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam ambapo ndiyo alizaliwa miaka kadhaa iliyopita.

Mama yake Diamond akiwa na mwanae wakati wa kula cake
Manager wa Diamond(kulia) Sallam akifurahia jambo na Diamond kwenye birthday dinner party
Diamond akiwa na mlinzi wake
Diamond akiwa na wageni waalikwa

Diamond akimlisha cake mtangazaji wa XXL Bdozen
Manager Makame akilishwa cake na Diamond

Picha by wcb_wasafi

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents