Picha

Picha: Wema Sepetu azindua ofisi za kampuni yake ‘Endless Fame Films’

Dada Wema

Jana Miss Tanzania wa zamani na muigizaji wa filamu nchini, Wema Sepetu alifanya uzinduzi wa ofisi za kampuni yake ya Endless Fame Films jijini Dar es Salaam.

Katika uzinduzi huo, mrembo huyo aliwaalika waandishi wa habari na pia uzinduzi huo kuhudhuriwa na waigizaji wenzie akiwemo JB, Richie Richie, Ray, Dotnata na wengine.

Akizungumzia sababu za kuanzisha kampuni hiyo, Wema alisema, “lengo kubwa kabisa ni kuempower young talents, kupromote vipaji vipya na kufanya kazi at a more advanced level and most importantly ni kuimprove quality za kazi za kitanzania.”

Alisema kazi rasmi za kampuni yake zitaanza mwezi ujao na tayari ameshaajiri wafanyakazi ingawa bado anakaribisha maombi yake kazi.

“Ukijua kwamba una kipaji na you have a reason to work with Wema Sepetu then why not, bring your application ntago through it if your CV works then…….”

Akizungumzia filamu yake ya Supastaa, Wema amesema ilikuwa imeshaanza kueditiwa na sasa ipo katika hatua za mwisho na hivi karibuni itaingia sokoni.

[caption id="attachment_32246" align="aligncenter" width="600"]Mmoja ya watu wa karibu na Wema Mmoja ya watu wa karibu na Wema
Ofisi
Ofisi

IMG_4960 (400x600)

IMG_4959 (600x400)

IMG_4957 (400x600)

IMG_4875 (600x400)

Wema akiwa na mama yake
Wema akiwa na mama yake

IMG_4952 (400x600)

Wema, mama yake na Zamaradi
Wema, mama yake na Zamaradi
Wema, mama yake, Zamaradi na Martin Kadinda
Wema, mama yake, Zamaradi na Martin Kadinda
Wema akiwa na mama na dada yake
Wema akiwa na mama na dada yake

IMG_4946 (600x400)

IMG_4945 (600x400)

IMG_4938 (600x400)

IMG_4933 (600x400)

Mama Wema akiwa na Zamaradi
Mama Wema akiwa na Zamaradi

IMG_4929 (400x600)

Wema Mwana wa Sepetu
Wema Mwana wa Sepetu

IMG_4926 (400x600)

Wema ndani ya pozi akizungumza na waandishi wa habari
Wema ndani ya pozi akizungumza na waandishi wa habari
Ray naye hakuwa nyuma kumsupport Wema
Ray naye hakuwa nyuma kumsupport Wema
Cloud
Cloud
Wema na Kadinda
Wema na Kadinda
Wema aki,show love na mfanyakazi wake
Wema aki,show love na mfanyakazi wake
Wema akiwa na Sauda Mwilima
Wema akiwa na Sauda Mwilima
Wema na Richie
Wema na Richie
Wema na Zamaradi
Wema na Zamaradi
Wema akisalimiana na wadau
Wema akisalimiana na wadau
Mama Wema na mashoga zake
Mama Wema na mashoga zake
Mama Wema wakati akitafakari jambo
Mama Wema wakati akitafakari jambo
Wema
Wema
Ray akiwa na wenzake
Ray akiwa na wenzake
Baba lao JB
Baba lao JB
Wema na Cloud kwa mbali katika ofisi za EFF
Wema na Cloud kwa mbali katika ofisi za EFF
CEO wa Endless Fame Films
CEO wa Endless Fame Films
Mama Wema akiwa na wenzake
Mama Wema akiwa na wenzake
Jiko la Endless fame films
Jiko la Endless fame films
Wema akitambulisha baadhi ya ofisi zake
Wema akitambulisha baadhi ya ofisi zake
Editor "2" wa Endless Fame Films
Editor “2” wa Endless Fame Films
Editor "1 " wa Endless fame films
Editor “1 ” wa Endless fame films
Wema akianza kuielezea Endless fame films
Wema akianza kuielezea Endless fame films
Wema akishangaa jambo
Wema akishangaa jambo
Wema akijiandaa kuzungumza na waandishi
Wema akijiandaa kuzungumza na waandishi
Waigizaji wenzake wa filamu nao walimsapoti
Waigizaji wenzake wa filamu nao walimsapoti

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents