Michezo
Picha: Wladimir Klitschko amdunda Alex Leapai kwa knock out
Bondia wa Ukraine, Wladimir Klitschko amemdunda Alex Leapai wa Australia kwa knock out katika raundi ya tano na kuchukua mkanda wake wa nne wa uzito wa heavyweight. Pambano hilo limefanyika Jumamosi hii.
Klitschko akimwangushia makonde Leapai kwa
Chiniii!
Klitschko ameongeza rekodi ya KO kuwa 53 katika mapambano 62 aliyowahi kushinda.
Katika pambano lake la 25 la ubingwa wa dunia, Klitschko anashikilia mkanda wa WBA na IBF na mingine ya chini ya WBO na IBO
Girlfriend wa Klitschko, Hayden Panettiere akishuhudia pambano hilo
Tazama zaidi picha zaidi za Klitschko na Hayden Panettiere