Habari

Picha: Wolper Gambe na Ray kuigiza mke na mume kwenye filamu mpya

Waigizaji waliopo orodha A kwenye kiwanda cha filamu nchini, Vincent Kigosi aka Ray na Jacqueline Wolper aka Gambe, wapo location kushoot movie mpya. Kutokana na maelezo ya picha hizo walizoziweka kwenye akaunti zao za Instagram, inaonekana wanaigiza kama mke na mume.

8e104596dcdd11e2ba0522000ae8030f_7

“Siye tena kazini new movie, mke wa mtu me hapa nacheza.me en broo ray mwenyezi mungu kua nasi mwanzo hadi tumalize inshaalah ,” ameandika Wolper kwenye moja picha hizo.

302b3eb6dcd511e2b66c22000ae80d1c_7

da9642fcdcd411e2bf1522000aaa04b7_7
Ray na Wolper on set

82b2f318dd1111e2a23322000aaa04c3_7
Wolper akipitia script.

Hata hivyo jina la filamu hiyo inayoandaliwa chini ya kampuni ya Ray, RJ Company haijajulikana inaitwaje.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents