Diamond PlatnumzPicha

Picha ya gari la Diamond baada ya ajali

20121112-171516.jpg

Juzi Diamond akiwa na gari lake alipata ajali (ya kawaida) ambayo ilisababisha sehemu ya mbele kuharibika. Kwa mujibu wa meneja wake, Raqey Mohamed wa I-View Media ajali hiyo ilisababishwa na mwendesha pikipiki ambapo hata hivyo amesema hakuna aliyeumia. “There is nothing serious lakini,” ameiambia Bongo5.

Photo Credit: Dj Choka

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents