Habari

Picha ya mtoto wa Mhe. Joseph Mbilinyi! Kama baba yake vile!!

Sasha-Desderia J. Mbilinyi

Wiki hii mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu amekaribisha mtoto wa kike aitwaye Sasha. Jana ameiweka picha yake rasmi kwenye mtandao wa Facebook ambayo ameifanya profile picture yake.

“WITH MY KHAKIS ON…PROTECTING THE QUEEN HANDS ON…!!!” aliandika.

Bila ubishi, Sasha anafanana sana na baba yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents