Wema Sepetu

Picha ya Ommy Dimpoz na Wema Sepetu yazua mjadala mkubwa mtandaoni!

Waswahili wanasema kuwa ‘ushemeji huwa hausishi’.

10959203_842003499169358_385112384_n

Picha ya hitmaker wa ‘Ndagushima’ Ommy Dimpoz akiwa na ex wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu imezua mjadala mkubwa kwenye mtandao wa Instagram.

Ommy amepost picha mbili tofauti kwenye akaunti yake ya Instagram akiwa na Wema anayeonekana akimrekebishia kitu kichwani kwake.

10979587_1394039930903118_1576526768_n

Muimbaji huyo hajaweka caption kwenye picha hiyo na hivyo kusababisha fumbo kubwa. Baadhi ya mashabiki wamehisi kuwa labda ushemeji kati ya wawili hao umeisha na sasa ni mtu na item wake.

“Jaman wa nyumban mbona mnachangia tena,” amehoji mmoja.

“I see you got a project number 2,” ameandika mwingine.

Mhh ukweli utajulikana tu!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents