Burudani

Picha ya Siku: Cover la single mpya ya Jennifer Lopez is ‘I Luh Ya Papi’ ft. French Montana ni noma

Jennifer Lopez ni mrembo… lakini huenda kwenye kava la single yake mpya, U Luh Ya Papi anaonekana ni mrembo zaidi. Jaji huyo wa shindano la American Idol alishoot video ya wimbo huo mwezi uliopita huko Miami na video iliongozwa na Just last Jesse Terrero.

jlo-I-luh-ya-papi

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents