Picha: Yvonne Chaka Chaka aingia kwenye filamu ya Wanigeria

Tarajia kumuona mkongwe wa muziki wa Afrika Kusini, Yvonne Chaka Chaka katika filamu.


Yvonne Chaka Chaka (aliyekaa kwenye kiti cheupe) wakiwa location

Chaka Chaka ataonekana katika filamu ya Nollywood iitwayo Journey Just Come ambayo wameigiza katika nchi mbili ambazo ni Nigeria na Afrika Kusini.

Filamu hiyo ambayo imeongozwa na Elvis Chucks kupitia Kampuni ya Diamond Groove Pictures, imewakutanisha waigizaji kama Thuso Mbedu, Joey Rasdien, Nancy Isime, Vuci Kunene, Thando Thabete and American Actor Quincy Giles.

Filamu hiyo inatarajiwa kuanza kuonyeshwa kwenye majumba ya sinema Machi 16, 2018.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW