BurudaniUncategorized

Picha za mabusu za Selena Gomez zampa hofu The Weeknd

Msanii na muigizaji kutoka Marekani Selena Gomez ameanza kumpa wasiwasi mpenzi wake, The Weeknd baada ya picha zake akiwa anapigwa busu na kijana mwingine kunaswa.

Picha hizo zilimemuonyesha mrembo huyo aliwa katika ulimwengu wa mahaba  na kijana Timothee Chalamet, ambaye ni muigiza tamthilia kama ‘Homeland’ pamoja na filamu ya ‘Interstellar’. Hiyo ni moja ya scene itakayopatikana katika filamu inayotengenezwa na Big Apple .

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents