Habari

Picha za Obama na mkewe alipo mtembelea Malkia kwenye ziara yake

Rais Obama na mkewe Michelle Obama jana alifanya ziara ya kutembelea nchi ya Uingereza na kufanikiwa kuonana na Malkia Elizabeth ambaye juzi alitimiza miaka 90 ya kuzaliwa.

336FC42900000578-3553625-image-a-83_1461326682902

Kwenye ziara hiyo Obama alitumia fursa ya kuishawishi nchi ya Uingereza isijiondoe kwenye umoja wa Ulaya kama ilivyopanga kufanya.

160422153356_obama_cameron_624x351_getty_nocredit

Akiongea baada ya mazungumzo na waziri mkuu wa Uingereza David Cameron mjini London, Obama alisema kuwa Uingereza itakuwa nyuma katika kuafikiana mikataba ya kibiashara na Marekani ikiwa itaondoka.

Hizi ni baadhi ya picha za Obama alipokutana na Malkia Elizabeth:

336EDC5F00000578-3553625-image-a-39_1461322916307

336FBC9E00000578-3553625-image-a-76_1461326414331

33700A1D00000578-3553625-image-a-51_1461337594160

336FC2C000000578-3553625-image-a-106_1461328605987

337000FE00000578-3553625-image-m-27_1461333209819

336FC42900000578-3553625-image-a-83_1461326682902

336FCCE300000578-3553625-image-m-105_1461328356679

33700E8700000578-3553625-image-a-17_1461332717564

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents