Burudani

Picha za P-Square na Jose Chameleone jijini Kigali, Rwanda

Leo katika uwanja wa mpira wa Amahoro jijini Kigali Rwanda wasanii mapacha wa nchini Nigeria Peter na Paul Okoye, P-Square na Jose Chameleone wanapiga show ya nguvu. Hizi ni baadhi ya picha za P-Square wakiwa kwenye ndege kuelekea Kigali, wakiwa Kigali na kuungana na Chameleone kufanyiwa interview kwenye vituo vya radio.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents