Mwanamuziki mrembo wa Marekani, Demi Lovato, aliitembelea Kenya, wiki moja iliyopita kwaajili ya shughuli za misaada kupitia taasisi yake.
Alikaa huko kwa siku tano na kutembelea shule pamoja na maeneo mbalimbali. Chini ni picha alizoweka kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii.