Burudani

Picha: Zari the Bosslady atua kwenye ‘ikulu’ ya Diamond

First lady, Zari the Bosslady ametua rasmi kwenye nyumba mpya ya Diamond Platnumz ambayo yeye mwenyewe anaiita ‘state house’

11084633_1573512636224710_1164216551_n
Zari amepost picha hii kwenye Instagram akiwa kwenye chumba cha kulala kwenye nyumba mpya ya Diamond

Mama kijacho huyo amepost picha akiwa kwenye chumba cha Diamond kilichopo kwenye nyumba hiyo iliyopambwa kwa vitu vingi vya thamani.

Gypsum ya chumba hicho kipo customised kwa jina lake.

“Gotta love my current view,” aliandika Zari kwenye picha inayoonesha gypsum hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents