Michezo
Picha: Zifahamu jezi mpya za mashabiki wa kike wa Manchester United
Kwa kuthamini mashabiki wao wa kike, klabu ya Manchester United ikishirikiana na kampuni ya Adidas, imezindua jezi maalumu kwaajili ya mashabiki wa kike. Jezi hizo ni tofauti na zile za kiume. Tazama picha zake hapo chini.