Michezo

Picha: Zitazame jezi mpya za Chelsea

Jezi mpya za klabu ya Chelsea ambazo zitatumika katika msimu ujao zikiwa na nembo ya mdhamini mpya zimewekwa hadharani.

2AB0687400000578-3167941-image-a-60_1437381285044
Jezi mpya za Chelsea watazotumia ugenini ni hizi

Udhamini huu unaifanya Chelsea ivune pound milioni 40 ambapo watachota pound milioni 200 katika kipindi chote cha udhamini.

Udhamini huo wa Chelsea ni wa pili kuwa na thamani kubwa katika historia ya soka la England, huku Manchester United wanaolipwa pound milioni 53 kwa mwaka na Chevrolet, wakiongoza.

2A94D53B00000578-3167941-_From_left_John_Terry_Oscar_Diego_Costa_Thibaut_Courtois_Willian-a-65_1437381411106
John Terry, Oscar, Diego Costa, Thibaut Courtois, Willian and Eden Hazard wakipozi na jezi mpya za nyumbani

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents