DStv Inogilee!

Picha: Zlatan Ibrahimovic apokewa kifalme na mashabiki Marekani

Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic amepokelewa kifalme na mashabiki wa timu yake mpya ya LA Galaxy ya nchini Marekani.

Ibrahimovic alitua katika uwanja wa ndege wa Los Angeles International Airport na kukutana na umati mkubwa wa mashabiki wa LA Galaxy.

March 23 ya mwaka huu, Zlatan alisaini mkataba wa kujiunga na timu hiyo ambayo inashiriki ligi kuu ya Marekani.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW