Burudani

Picha:Behind the scenes ya utengenezaji wa video mpya ya Kala, ‘Simu Ya Mwisho’

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Kala Jeremiah ameingia mzigoni hivi karibuni kuanza ku shoot video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Simu Ya Mwisho’.
Kala na Nay
Kala na Nay
Kala ameiambia bongo5 kuwa audio ya ‘Simu Ya Mwisho’ imetengenezwa na Mona Gangstar na video inatengenezwa na D360 chini ya director Pablo, ambapo pia alisema video hiyo itatoka hivi karibuni.
Kala na Nay wakiwa katika utengenezaji wa video
Kala na Nay wakiwa katika utengenezaji wa video
Moe Music nae atakuwepo
Moe Music akiwa katika utengenezaji wa video hiyo
IMG-20140612-WA0001

IMG-20140612-WA0002

IMG-20140612-WA0004

IMG-20140612-WA0006

IMG-20140612-WA0007

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents