Michezo

Picha:Timu ya Ujerumani yapokelewa kwa shangwe nyumbani

Mashabiki wa soka nchini Ujerumani wamejitokeza mjini Berlin kuwalaki wachezaji wa timu ya taifa walioshinda Kombe la Dunia.
10524691_951059281576586_6342095642476954794_n
Sherehe kubwa zimefanyika katika eneo la Brandenburg Gate, ambapo wachezaji wameonesha kombe waliloshinda kwenye jukwaa, huku wakiserebuka.

Watu wengi walikusanyika tangu alfajiri kuwakaribisha wachezaji hao waliowasili Jumanne asubuhi. Maelfu ya watu pia walijipanga pembezoni mwa barabara.

Hili ni kombe la nne la dunia kwa Ujermani kushinda,la tatu ilichugua mwaka 1990.

10306164_951059294909918_2447018738695418820_n

10473209_951059284909919_8846922597448884447_n

10484617_951059288243252_7687468091053746595_n

10494854_951059321576582_2185956979613120643_n

10500398_951059278243253_8826600233513911696_n

10513374_951059311576583_166617594242857532_n

10514727_462421003895367_6787682470484104128_n

10532943_951059291576585_2109035756137797064_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents