Burudani

Picha/Video: Alikiba awapa zawadi hii mashabiki wa Arsenal

By  | 

Jumanne ya wiki hii Alikiba alikuwa ni miongoni mwa wageni wapya waliohudhuria kushuhudia mechi ya ligi kuu ya Uingereza kati ya Arsenal dhidi ya Sunderland katika uwanja wa Emirates uliopo jijini London, Uingereza.

Katika mchezo huo Arsenal ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0. “To arsenal Fans ?? #rockstarTv #kingkiba,” ameandika Kiba katika kipande cha video alichokiweka katika mtandao wa Instagram.

Msanii huyo alihudhuria mchezo huo baada ya kufanikiwa kufanya show kubwa ya One Music Africa Fest katika ukumbi wa SSE Arena Wembley usiku wa Jumamosi ya Mei 13 akiwa na wasanii wengine wakubwa kutoka Afrika.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments