Burudani

Picha+Video: Viatu vya Idris Sultan ‘SultanXforemen’ vyatinga kitaani

Msanii wa filamu na mchekeshaji, Idris Sultan ameamua kukamilisha moja ya ndoto zake usiku wa leo kwa kuzindua rasmi  viatu vyake ‘SultanXforemen’.

Idris Sultan

Akiongea na Bongo5, baada ya uzinduzi huo ameeleza kuwa viatu ambavyo vipo vya aina tofauti tofauti kama 36 na vitapatikana kwa tovuti ya viatu hivyo pia kwake mwenye kwani atakuwa anatembea anavyo kwenye gari yake, vile vile vitaanza kuuzwa katika duka lililopo ndani ya Hotel ya Hyatt.

Viatu vya SultanXforemen

“Viatu hivi vitauzwa kwa bei ya kawaida kabisa na kila mtu anaweza kununua, kwa sasa vinapatikana katika tovuti yaka Sultanbyformen, lakini pia vitapatikana sehemu zingine kama hapa hotelini. Bei ya viatu hivi ni kuanzia laki na nusu,” amesema Idris.

Uzinduzi wa viatu hivyo umeudhuliwa na mastaa kadhaa akiwemo Iren Uwoya, Gabo,Selin, Mc Piilipili, Ally Rehmtullah,Quick raka na wengine wengi.

Na Salum Kaorata

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents