Picha

Pics of the day: Abela Kibira mwanamuziki mwenye asili ya Tanzania na Marekani

abela kibira (600x399)

Abela Kibira ni msichana mrembo haswaa. Baba yake anatokea Bukoba mkoani Kagera na mama yake ni mmarekani. Anaishi Minneapolis, Marekani. Tumemshirikisha kwenye jarida letu la Mzuka kwenye safu ya watanzania wafanyao muziki nje ya nchi. Hizi ni picha zake mpya and she looks super sexy! Right?

abela kibira 2 (600x399)

Tazama video ya wimbo wake Ball & Chain hapa:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents