Piere Likwidi alivyoibuka kwenye show ya Mbosso Tanga (Video)

Show ya Mbosso ambayo imefanyika Tanga usiku huu ilikuwa na matukio mengi, kabla ya Mbosso kupanda kuna wasanii wa Tanga ambao walipata fursa ya kuonyesha makeke yao hali ambayo ilimsababisha mchekeshaji Piere Likwidi kupanda jukwaani na ku-show love.

 

 

Likwidi amesema alifanya hivyo baada ya kukunwa na muziki wa msanii huyo.

Written and edited by @kaimitehassani

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW