Burudani ya Michezo Live

Pili wa kitimtim comedy afunguka wanaomtisha kwenye tasnia hiyo na ukaribu wake na Tin White (+Video)

Msanii wa vichekesho, Gladness Kifaluka maarufu kama, Pili  ambaye ametamba sana na igizo la Kitimtim amesema licha ya kuwepo na waigizaji wengi nchini lakini hakuna anayemtisha kwakuwa wengi wanaigiza vipande vya dakika moja na kuposti kwenye Instagram. Pili amesema hiyo ndiyo tofauti kubwa kwakuwa yeye hutumia nusu saa nzima kuwakikisha watu wanafurahi.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW